Friday, November 25, 2011

ZAMOTO ZILIZOWAHI KUTUKIMBIZA KATIKA UWAZI NEWSPAPER


Your wellcome to coment any thing about which you interested.
THANKS!!!!!!!!!!

GLOBAL Dokii: Nafurahi sana mtu anaponiteta

Ummy Wenslaus ‘Dokii’.
LEO katika safu hii tunaye msanii ambaye amekuwa akifanya vizuri kwenye tasnia ya muziki pamoja na filamu hapa Bongo kwa muda mrefu. Anaitwa Ummy Wenslaus lakini kisanii anajulikana kwa jina la Dokii.

Naye juzikati alikutana uso kwa macho na TQ…
Added by GLOBAL on November 25, 2011 at 11:00am — 3 Comments

GLOBAL KABULA: Nami kalio n’nalo jamani!

Na Shakoor Jongo
MUIGIZAJI asiyekaukiwa na vituko, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ hivi karibuni amefunguka na kusema kuwa licha ya kuonekana ni mwembamba lakini anamshukuru Mungu kwa kumjaalia kuwa na kalio.

Akizungumza na Ijumaa juzikati, Jini Kabula alisema kwa mwanamke sehemu hiyo ya…
Added by GLOBAL on November 25, 2011 at 10:30am — 8 Comments

GLOBAL RECHO: Piga, ua siwezi kuzaa kabla ya kuolewa

Na Gladness Mallya
KUFUATIA baadhi ya mastaa wa Bongo kuanzisha tabia ya kuzaa kabla ya kuolewa, mwanadada anayeuza sura kwenye filamu Bongo, Rachel Haule ‘Recho’ (pichani) amesema piga ua, yeye hatazaa nje ya ndoa.

Akichezesha taya na paparazi wetu, Recho alisema ndoa ni jambo la heshima…
Added by GLOBAL on November 25, 2011 at 10:30am — 3 Comments

GLOBAL Joyce anaswa akinunua ‘makufuli’


Richard Bukos
HUKU tabia ya kutovaa makufuli ikishamiri kwa mastaa wengi, Mtangazaji wa Kipindi cha Wanawake…
Added by GLOBAL on November 25, 2011 at 10:30am — 4 Comments

GLOBAL Harufu ya ndoa yambadilisha Mainda

Na Erick Evarist
SIKU chache baada ya kuvalishwa pete ya uchumba, muigizaji wa filamu Bongo, Ruth Suka ‘Mainda’ amebadilika na kuonekana kuwa na uchu wa kuitwa mke wa flani.

Chanzo chetu ambacho ni rafiki wa Mainda kilichoomba hifadhi ya jina lake kilisema, msanii huyo amekuwa…
Added by GLOBAL on November 25, 2011 at 10:30am — 4 Comments

GLOBAL Rehema Fabian apata pigoNa Shakoor Jongo
MSHIRIKI wa Miss Kiswahili 2009, Rehema Fabian ‘Video Queen’ amepata pigo…
Added by GLOBAL on November 25, 2011 at 10:30am — 6 Comments

GLOBAL Monalisa kugombea uraisNa Gladness Mallya
MWANADADA mwenye heshima katika kiwanda cha filamu Bongo, Yvone-Cherry Ngatikwa ‘Monalisa’…
Added by GLOBAL on November 25, 2011 at 10:30am — 6 Comments

GLOBAL SKENDO ZA LULU… FUNGA KAZI


Brighton Masalu na Imelda Mtema
SEXY girl, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefunua kinywa juu ya skendo zake ambazo ni funga…
Added by GLOBAL on November 25, 2011 at 10:30am — 15 Comments

GLOBAL Jack, Pendo wadundana


Na Imelda Mtema
STAA wa Shindano la Maisha Plus Season 11, Jacqueline Dustan (pichani)  na dada mmoja aliyefahamika kwa jina la Pendo hivi karibuni walizitwanga kavukavu kisa kikidaiwa ni kumgombea pedeshee ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja.

Tukio la wawili hao…
Added by GLOBAL on November 18, 2011 at 4:00am — 13 Comments

GLOBAL Diva ajigonga kwa FA

Hamis Mwinjuma ‘MwanaFA’.
Na Joseph Shaluwa
MTANGAZAJI mwenye sauti tamu…
Added by GLOBAL on November 18, 2011 at 4:00am — 15 Comments

GLOBAL DOKII:Sitaki kuolewa wala kuzaa

Ummy Wenslaus ‘Dokii’.
Na Gladness Mallya
MSANII anayefanya vizuri kunako gemu la filamu na muziki Bongo, Ummy Wenslaus ‘Dokii’  ameibuka na kusema hana mpango wa kuolewa na hatamani kwani anayejua mambo yote hayo ni Mungu.

Akichonga na mwandishi…
Added by GLOBAL on November 18, 2011 at 4:10am — 28 Comments

GLOBAL Nikabu yamtesa Aunt Uarabuni

Aunt Ezekiel.
Na Imelda Mtema
MCHEZA filamu ‘hot cake’ Bongo, Aunt Ezekiel hivi karibuni alipatwa na wakati mgumu kufuatia kulazimika kuvaa vazi linalovaliwa sana na wanawake wa Kiislam maarufu kama nikabu alipokuwa katika Jiji la Dubai, Uarabuni.

Shosti wa karibu aliyeongozana na staa huyo pande…
Added by GLOBAL on November 18, 2011 at 4:07am — 17 Comments

GLOBAL Diamond, Timbulo kwisha

Jacqueline Pentzel akiwa na Ally Timbulo.
Na Musa…
Added by GLOBAL on November 18, 2011 at 4:00am — 20 Comments

GLOBAL Shoo ya Sugu na Vinega Ustawi ni gumzo kila kona


Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi ‘Sugu’.
Na Mwandishi Wetu
SHOO ya Burudani kwa Mashabiki, Muziki Unalipa ambayo itafanyika Novemba 26, 2011 kwenye Uwanja wa Ustawi wa Jamii, Kijitonyama imekuwa gumzo kila kona.

Shoo hiyo, itaongozwa na Mbunge wa Mbeya Mjini…
Added by GLOBAL on November 18, 2011 at 3:30am — 5 Comments

GLOBAL Duh! Lulu kama paka

Na Shakoor Jongo
PICHA aliyopiga msanii wa filamu asiyeishiwa na vituko, Elizebeth Michael ‘Lulu’ imemuonesha akiwa kama paka kufuatia kujipachika macho ya bandia.

Picha hiyo inapatikana mtandaoni na baadhi ya watu walioiona waliacha maoni yao ambapo sehemu kubwa yalikuwa…
Added by GLOBAL on November 18, 2011 at 3:44am — 19 Comments

GLOBAL SIRI NZITO ZAFICHUKA

Na Imelda Mtema
KAMA ingekuwa sinema, basi muvi ya kuvunjika kwa ndoa ya Irene Pancras Uwoya (pichani) na Hamad Ndikumana ‘Kataut’ ingeshinda tuzo ya mwaka 2011 kufuatia…
Added by GLOBAL on November 18, 2011 at 3:30am — 38 Comments

GLOBAL TAMASHA LA STREET UNIVERSITY ARUSHA: Wasanii kibao kuacha historia

WASANII watakaoshiriki katika Tamasha la Street University wameweka wazi kuwa, Novemba 27 mwaka huu itakuwa ni siku ya burudani na elimu ya ujasiriamali na wao wamejipanga vilivyo kuhakikisha wanaweka historia katika Jiji la Arusha.

Wakichonga na Showbiz kwa nyakati tofauti, wasanii hao ambao ni Christina…
Added by GLOBAL on November 11, 2011 at 10:25am — 4 Comments

GLOBAL The Girl In My Dreams Msichana Ndotoni Mwangu -67

OLEG Malenko afanikiwa kumchukua mwanaume aliyejitambulisha kwamba ni Ditrov huku akiwa hana fahamu, anamchukua na kumpeleka moja kwa moja nyumbani kwake, huko angempatia matibabu na kupona kisha kusimulia historia nzima ya nini kilimpata mpaka kufika hapo alipokuwa.

Gari linaendeshwa kwa kasi na dakika kumi na tano baadaye wanawasili nyumbani kwa Oleg Malenko ambako  anasaidiana na dereva teksi na kumshusha mtu huyo kisha kumshukuru na kumpatia fedha…
Added by GLOBAL on November 11, 2011 at 10:06am — 1 Comment

GLOBAL Kajala aigeuzia kibao midume

Na Imelda Mtema
MSANII wa filamu ambaye umbo lake linadatisha kwa jinsi alivyofungashia, Kajala Masanja (pichani)  ameamua kuwageuzi kibao wanaume kwa kueleza kuwa, sasa hawawezi kumliza tena labda awalize yeye.

Akipiga stori na Ijumaa juzikati, Kajala ambaye aliwahi kuishi kinyumba na…
Added by GLOBAL on November 11, 2011 at 9:55am — 9 Comments

GLOBAL Barnaba aganda begani mwa mke wa Bush

Na Erick Evarist
SHUJAA wa sauti kutoka nyumba ya Vipaji Tanzania (THT), Elias Barnaba juzikati ameonekana akiwa ameganda begani kwa aliyekuwa mke wa rais wa zamani wa Marekani, George Bush aitwaye Laura (kama anavyoonekana pichani juu).

Barnaba alipata fursa ya kupiga picha na mama huyo wakati alipokuwa ziarani nchini humo pamoja na…

No comments:

Post a Comment