Thursday, November 24, 2011

TUISHI KWA KUWAJALI WENGINE

Wakati mwingine mambo yetu hayaendi tutakavyo yote ni kwasababu hatuna uhusiano mzuri na watu wanao tuzunguka. Haya ni mambo machache yakuzingatia wakati unapohic unatakiwa kuwa/kuitwa mtu wa watu:-
                                      01. Jifunze tabia zao
                                      02. Jifanye unafuraha hata kama moyo wako unavuja damu
                                      03. Sema aksante hata kama ulichopewa hujapendezwa nacho
                                      04. Shiriki katika shughuli za kijamii
                                      05. Hakikisha jamii inakukubali na inaukubali utu wako
                                      06. Hakikisha unakubalika mbele za watumishi na pia mbele za Mhungu

1 comment:

  1. JE WEWE UNAWAJALI HAO ULIO NAO HAPOOO!!!!!!!???????????? NA TENA WANASUBIRI JIBU LAKO WAONE UNAWAJIBU NINI........ MBONA HUJAWAJIBU HUONI HAO WANAKUANGALIA HAPO KWENYE KOMPYUTA YAKO???????

    ReplyDelete