Wednesday, November 30, 2011

ITUMIE VIZURI SIMU YAKO NAYO ITAKUJENGEA HESHIMA

USE YOUR PHONE IN PROPER WAY YOU'LL SEE IT'S IMPORTANCE

 

Habari zenyu bana Mambo yanasemaje??

 Hivi hasa kazi ya SIMU ni nini?
   Hivi kwani maisha bila SIMU hayawezi kwenda?
     Kwani wazee wazamani walikuwa na SIMU?  Lakini mbona waliishi.
       Je unajua kwamba matatizo uliyonayo sasa moja ya chanzo ni SIMU?
         Umeshajipanga vipi kumaliza tatizo hili la SIMU?
            Imesha wahi kukutokea  kama hii? (Ndiyo) au ( Hapana)

Simu ni kifaa muhimu sana katika maisha ya siku za lero, ila kinahitaji umakini mkubwa kwani pindi unapokosea tu masharti yake hugeuka na kuwa kibaya kuliko hata SUMU.
Umuhimu wa SIMU ni mkubwa hivi sasa kwasababu ya uwingi wa shughuli tunazokuwanazo. Kinacho nichanganya na kunishangaza ni hikii, hivi binadamu anatakiwa kumiliki SIMU akiwa na umri kuanzia miaka mingapi? Maana mimi nimewahi kushuhudia motto mmoja chini ya miaka 10 akimiliki SIMU huku akidai kanunuliwa na mzazi wake. Hii kwangu ilikuwa ni ajabu  sijui kwako ? Je mzazi huyu alikuwa sahihi kufanya hivyo kwa mototo wake? Je motto huyu anashughuli gain zinazo mlazimu kununuliwa SIMU?. Je motto huyu anatumia SIMU hii kuwasiliana na  nani? 
 Ni dhahili kabisa mototo huyu atapata tu watu wakuzunguza nao kwani watu wennye simu ni wengi. Je hawa watu anaozungumza nao wote huzungumza lugha nzuri? Achana na hayo, hayo 9, 10 ni hili, Je kuna yeyote anayefuatilia kuwa motto anaongea nini na anaongea na nani? Hii ni hatari tena hatari kubwa.

Unapokuwa pekeyako (yaani bila mke) simu huwa siyo tatizo kubwa. Ila sasa ukisha oa au kuolewa SIMU linageuka kuwa tatizo na wakati mwingine una lazimika kupunguza au kufuta kabisa baadhi ya mawasiliano ili kulinda na kudumisha heshima ya ndoa yenu. Ujue kabla hujaoa au kuolewa niwengi walitaka na hata kulazimisha wawe wao lakini ikashindikana, sasa watu kama hao mara nyingi huendelea kukufuatilia lengo lao likiwa nikukuvuruga huku wakiamini kuwa ndoa ikivunjika watapata wao nafasifi waliokua wameipoteza. Na  kama hautakuwepo umakini basi dhamira yao hutimia, kwani wapo wengi tu mtaani tunawaona.three dimensional mobile phone...
 vector   illustration of a...mobile phone   original designtouch screen mobile phone with...many hands holding mobile...mobile phone  smartphone   ...young couple using a mobile...portrait of an aged business...vector mobile phones original...mobile phone with icons ...mobile phone vector   original...using a pda mobile phone with...camera mobile phone and happy...close up view of  mobile phone...handsome young guy using a...mobile phone  smartphone...pretty young woman using mobile ...set of mobile phones  original...smartphone  modern mobile phone ...using a pda mobile phone with...happy people showing their...No comments:

Post a Comment