Friday, November 25, 2011

MPO KWA MAKUSUDI YAPI?

 

                    HIVI KAZI YA POLICE HASA NI NINI?

 

Ukatili wa polisi

Hawatakiwi kutumia nguvu kubwa kiasi hiki .wakumbuke kwamba na wao wametoka kwenye jamii na nisehemu ya jamii.niwekee picha za matukio ya wabongo
  police.jpg‎   17slide6[1].jpg‎   _52734713_011986706-2[1].jpg‎

1 comment:

  1. POLICE KAZI YAO KUSIMAMIA USALAMA WA JAMII AU RAIA KWA UJUMLA NA SIYO KUNYANYASA NA KUWAONEA WANANCHI. MFANO MZURI WA POLICE WANAOONEA WANANCHI NI POLICE WA TANZANIA HASA KIPINDI CHA SHUGHULI MHIMU KAMA VILE:-
    UCHAGUZI
    KAMPENI ZA UCHAGUZI
    ZIARA YA RAIS N.K

    ReplyDelete