Wakati mwingine mambo yetu hayaendi tutakavyo yote ni kwasababu hatuna uhusiano mzuri na watu wanao tuzunguka. Haya ni mambo machache yakuzingatia wakati unapohic unatakiwa kuwa/kuitwa mtu wa watu:-
01. Jifunze tabia zao
02. Jifanye unafuraha hata kama moyo wako unavuja damu
03. Sema aksante hata kama ulichopewa hujapendezwa nacho
04. Shiriki katika shughuli za kijamii
05. Hakikisha jamii inakukubali na inaukubali utu wako
06. Hakikisha unakubalika mbele za watumishi na pia mbele za Mhungu
JE WEWE UNAWAJALI HAO ULIO NAO HAPOOO!!!!!!!???????????? NA TENA WANASUBIRI JIBU LAKO WAONE UNAWAJIBU NINI........ MBONA HUJAWAJIBU HUONI HAO WANAKUANGALIA HAPO KWENYE KOMPYUTA YAKO???????
ReplyDelete