Friday, November 25, 2011

AMBAO HAMKUONA VIZURI HEBU TAZAMENI HAPA JINSI NATTO WALIVO MTENDA JEURI K.M.GADDAFI



DUUUUUUUUUH HATA SIJUI AFRIKA TUNAKOELEKEA


                            PICHA ZA KIFO CHA MUAMMAR GADDAFI


....SEHEMU ALIPOJIFICHA PANDE ZA HOMETOWN KWAKE,SIRTE....
....WAASI WAKIMNG'ANGANIA....
....MAITI YAKE....
....BASTOLA YA GADDAFI....FULL GOLD....


Libya mpya baada ya kifo cha Gaddafi
BAADA ya mapigano yaliyodumu kwa miezi minane, hatimaye Muammar Gaddafi ameuawa katika mji wa Sirte. Baraza la mpito la Libya (NTC) limesema kuwa Gaddafi aliuawa alipokuwa katika harakati za kutoroka kupitia njia za mahandaki.Kuondolewa kwa kiongozi wa Libya Kanali Muammar Gaddafi kufuatia mapinduzi ya kiraia kumehitimisha utawala wa kiongozi huyo wa Kiarabu aliyekaa kwenye madaraka kwa muda mrefu zaidi.

Kanali Gaddafi aliingia madarakani nchini Libya mwaka 1969. Alikuwa siku zote ni kiongozi mwenye misimamo yake na mwenye utata Mashariki ya kati, Afrika na nchi za magharibi.Kwa miaka mingi serikali nyingi zilikuwa zikimchukulia kama mtu aliyeunga mkono ugaidi.
Hata hivyo katika mabadiliko ya ghafla ya kisera mwaka 2003 alisalimisha silaha za maangamizi makubwa na akajikuta akisifiwa sana na wanasiasa wa magharibi kama mtu wa watu.

Mwisho wa utawala wa Gaddafi
Kifo cha Muammar Gaddafi ni ishara kuwa utawala wa Gaddafi na familia yake katika nyanja za siasa umekwisha, pia ni ishara kuwa Libya imeingia katika enzi mpya. Kwa hakika kifo cha Gaddafi kinaonesha nguvu ya ushawishi nchini Libya katika muda mrefu ujao pamoja na uhusiano kati ya Libya na nchi nyingine.Kuuawa kwa Gaddafi kumeondoa kikwazo kikubwa kilicholizuia Baraza la Mpito la Taifa la Libya kusonga mbele, lakini bado linakabiliwa na changamoto nyingi. Kwa upande wa kijeshi, kifo cha Muammar Gaddafi kinaashiria mwisho wa vita nchini Libya.

Wafuasi wachache wa Gaddafi wanaweza kuendelea kufanya mashambulizi kadha wa kadha, lakini vita vimemalizika nchini humo. Maana yake Baraza la Mpito la Taifa limeidhibiti kijeshi nchi nzima, hali ambayo inasaidia juhudi zake za kuboresha usalama nchini Libya.
Kwa upande wa kisiasa, kifo cha Gaddafi kimetangaza mwisho wa enzi yake, na kuondoa wasiwasi kwa baadhi ya nchi kutambua utawala wa baraza hilo. Hivi sasa nchi kadhaa zimelitambua baraza hilo, na kifo cha Gaddafi kitafanya baraza hilo liungwe mkono zaidi wa kisiasa.Aidha baraza hilo linaweza kutumia nguvu zake katika mambo ya siasa, uchumi na ukarabati.

Hivi sasa vita imevurugu utaratibu wa jamii na hakuna usalama nchini Libya. Wafuasi wa Gaddafi wamesambaratika na kujificha kwenye jamii na huenda wakaendelea kuwa tishio. Hali ya kutoelewana kati ya makundi tofauti ya kisiasa na makabila mbalimbali nchini Libya pia inaweza kusababisha mapambano mapya. Ndiyo maana changamoto kubwa zaidi inayolikabili Baraza la Mpito la Libya ni kurejesha hali ya amani na usalama.
Aidha baraza hilo ambalo halina uzoefu wa kutosha wa utawala linakabiliwa na mtihani wa kuitawala Libya. Katika muda wa mpito wa kisiasa, baraza hilo linapaswa kuanzisha vyama vya kisiasa, kuunda serikali, kutunga katiba na kuandaa uchaguzi mkuu, hizo zote ni kazi nzito sana.

Baraza la Mpito linaundwa na watu wanaowakilisha makundi mbalimbali ambao wanapingana mara kwa mara. Katika suala la uundaji wa serikali mpya, kuna tofauti kubwa ndani ya baraza hilo, hali ambayo imechelewesha mara kadhaa kazi ya kuunda serikali ya mpito.Licha ya hayo, jinsi ya kuwashughulikia maofisa wa utawala wa Gaddafi ni suala lingine nyeti. Msimamo wa kuwanyanyasa utaweza kuwafanya waamue kupambana, hivyo Libya ikarudia tatizo la Iraq.

Wasemavyo wanaharakati
Kwa mtazamo wa weledi wa mambo na wanaharakati wa kisiasa nchini Libya utungaji wa katiba, kukusanya silaha zilizoko mikononi mwa watu, kuunda serikali, kuondoka vikosi vya kijeshi vya NATO na kuzikomboa mali za umma zinazoshikiliwa na nchi za Magharibi ndizo changamoto muhimu zaidi zinazoikabili Libya baada ya kifo cha Muammar Gaddafi.

Mustakabali wa Libya
Mwisho wa uhai wa Gaddafi ndio mwanzo wa changamoto kubwa zitakazoikabili Libya. Alhadi Shaluf, kiongozi wa chama cha Uadilifu na Demokrasia cha Libya amesema kutungwa katiba mpya ni miongoni mwa changamoto muhimu zaidi inayopasa kushughulikiwa nchini humo.

Idris Adbish, mwanaharakati wa kisiasa wa Libya, yeye anaamini kuwa kukusanywa silaha zilizoko mikononi mwa raia ndio changamoto ya kiusalama inayoikabili Libya ya baada ya Gaddafi.Amma Muhammad Mahmoud ash Sharkasi ambaye ni mtaalamu na mhadhiri wa Sayansi ya Siasa katika Chuo Kikuu cha Benghazi yeye anaamini kwamba kuundwa serikali mpya ni moja ya changamoto muhimu inayoikabili Libya mpya.

Sambamba na kuashiria nukta kwamba kwa muda wa miaka 40 wananchi wa Libya wametengwa katika masuala ya uendeshaji nchi na kuburuzwa na kutwishwa kila jambo, mhadhiri huyo wa taaluma ya siasa amesisitiza kuwa kuundwa serikali nchini Libya kunahitajia akili, busara, uelewa na ushirikishaji wa watu wa matabaka yote ya nchi hiyo.

Alaa bin Dardaf ambaye ni mtaalamu wa uhusiano wa kimataifa yeye anaamini kuwa kuachiliwa mali za Libya zinazoshikiliwa na nchi za Magharibi ni changamoto muhimu ambayo nchi hizo zinaweza kuitumia ili kuwa na ushawishi na kuingilia masuala ya ndani ya Tripoli.

Ameongeza kuwa nchi za Magharibi hazina kisingizio tena cha kuzizuia mali za Libya kwa kuwa kitambo sasa mafuta ya Libya yamekuwa yakizalishwa na kuuuzwa kwenye masoko ya nchi hizo, hivyo inapasa mali zote za Libya zinazoshikiliwa zikabidhiwe kwa serikali ya nchi hiyo.
Amma Abayomi Azikiwe ambaye ni mhariri wa mtandao wa habari wa Pan-African anasema suala muhimu zaidi kwa sasa ni kuondoka kwanza vikosi vya kijeshi vya NATO katika ardhi ya Libya.

Hata hivyo kwa mtazamo wa Azikiwe ni jambo lililoko mbali kuwa Marekani na NATO zitakuwa tayari kuondoka huko na kuwapa fursa wananchi wa Libya ya kufanya kazi ya kuijenga upya nchi yao.

Makala haya yameandaliwa na Elias Msuya kwa msaada wa mashirika ya habari.
 
Someni na hizi ili muone kama hawa NATO na USA walikuwa na jema na Libya.

The cost of killing Gaddafi

Uploaded by adminHistory of Wars,Libya,Shen aliWaduge,US,wo rldview10:05:00 AM

| by Shenali Waduge

(October 21, Colombo, Sri Lanka Guardian) In 2009 Libya was a friend to the US so much so that Libya allowed several US corporate giants to enter & approval was given for training of Libyan security personnel & civilians. These were the civilians that eventually became “rebels” given arms by the West to overthrow Gaddafi in a movement called “liberating Libya”. Arming locals has become a new strategy to avoid deaths to coalition forces while NATO is tasked to take on the indiscriminate air strikes. So what has been the cost for killing a man who has ruled a nation for 42 years without debt to the IMF or the World Bank? It took 8 months for US-NATO to take over Libya, the pro-US Libyan Government may celebrate & rejoice but that celebration is as short-lived as the jubilations in Iraq & Egypt where the people are beginning to realize their country would have still been better off with Saddam Hussein & Hosni Mubarak!

Let all US-NATO nations realize that the people of the world are no fools. Citizens of these nations may be fooled since mainstream media have blinded them with lies &false versions to brainwash them but nemesis for the innocent deaths will follow US-NATO & their leaders for the destruction they are doing to the people, the environment & to nations throughout the past decade.

The world needs to know that Gaddafi gave Libyans. Education in Libya is free to everyone from elementary school right up to university and post-graduate study, at home or abroad, Libyans enjoy free health care, ratio of one doctor per 673 citizens. Libyans are given interest free housing loans, free land for farmers. In 2010, Libya ranked 53rd on the Human Development Index (out of 170 U.N. member states), making it a “high human development” country, electricity is free for all its citizens. if a Libyan buys a car, the government subsidized 50% of the price. price of petrol in Libya is $0.14 per litre. Libya has no external debt and its reserves amount to $150 billion – now frozen globally A mother who gave birth to a child receives US$5,000 40 loaves of bread in Libya costs $ 0.15 25% of Libyans have a university degree, All newlyweds in Libya receive $60,000 Dinar (US$50,000) by the government to buy their first apartment so to help start up the family. Prior to the international sanction placed on Gaddafi & Libya in the 1980s, it was one of the richest in the world by GDP per capita – with a living standard higher than Japan. It was the richest in Africa before the revolution. Libya is the only country in North Africa where terrorists do not exist. Fundamentalists have no voice whatsoever in Libya. Not a single terror-incident has been recorded in Libya during Gaddafi’s regime. Gaddafi is no saint but the above examples show that the qualities of leadership that made Libya what it was need to be benchmarked against what the US & West have in store for Libya that has been purposely destroyed to advance the agenda of the West.

With the death of Gaddafi the most important question is where are the 50,000 people that Gaddafi is supposed to have killed prior to US-NATO forces attacking Libya? Clearly the “genocide” claim is a lie – a little too late as the objective of killing Gaddafi has been achieved.

The number of civilian casualties as a result of US-NATO airstrikes, rebel attacks & pro-Government forces range between 1000 & 10,000. These remain only “estimates”. Mainstream media has erred in blaming deaths caused by pro-Gaddafi totally ignoring the reality that the majority of deaths would have resulted by the indiscriminate bombing by US-NATO air strikes. NATO cannot deny that it has purposely targeted civilian infrastructure – hospitals (Al-Tajura Hospital & Saladin Hospital in Ain Zara), power generating facilities, water purification systems, tv stations & other communication networks, civilian airports, schools, government buildings & residential complexes. The purpose of such bombings is obviously to destroy the country’s institutions. The UN Human Rights organization or other human rights bodies seem to care little for the realism behind the exercise of freeing Libya & at the fatalities that has been caused by NATO which has no mandate whatsoever to carry out air strikes on Libya. What these international bodies are doing to humanity is a shame & a crime for which all of them must be tried for holding office & remaining silent over crimes taking place under false motives & concocted lies.

Thus the “humanitarian” bombing campaign part of the R2P agenda is part & parcel of a new military strategy carved by the West & a major component of this strategy is to destroy civilian infrastructure. This methodology was applied in Yugoslavia & Iraq where bridges, power plants, water systems, cultural & historical heritages, schools & hospitals were all identified as “legitimate military targets” validated in advance. In Yugoslavia the civilian economy was the target.

The US military intervention in Libya has cost America USD896million. While UK tax payers have to fork out £200m & likely to cost up to £1bn & rising just to kill one man! In all the operation to free Libya of Gaddafi would have cost USD2billion.

The USA is morally and financially broke, uneducated and sick but it is its arrogance that continues to think that all nations must bow down to US dictates. Gaddafi’s Libya will soon find out what it is like to live in a country without Gaddafi’s charisma in a country that is soon likely to be fleeced by the West. Where people will be broke, without money, hungry, paying for all services but reminded all the while that they are “free, liberated & enjoying the fruits of human rights”. In the meanwhile, the US will ensure friction amongst tribes in Libya so that turmoil will prevail just like they are doing in Iraq & Afghanistan while Western oil giants cease the oil, gold & all natural resources that Libya possesses which in reality was the reason for the whole exercise of humanitarian intervention.

It is not difficult to comprehend the trend that is taking place & the dangers of the West’s financial turmoil will mean further “humanitarian” operations on targeted nations & the basis for the next stop being Syria is already under way.

Let all US-NATO nations realize that the people of the world are no fools. Citizens of these nations may be fooled since mainstream media have blinded them with lies & false versions to brainwash them but nemesis for the innocent deaths will follow US-NATO & their leaders for the destruction they are doing to the people, the environment & to nations throughout the past decade.


No comments:

Post a Comment