Thursday, November 24, 2011

MAISHA KABLA YA NDOA NA MAISHA BAADA YA NDOA







KATIKA MAISHA KUNA VITU VINGI KATI YA VITU HIVYO KIPO KIMOJA MHIMU;
Wengi mnaweza mkawa mnajiuliza ni vitu gani hivyo ambavyo hamvijui, hapana siyo kwamba hamvijui
mnavijua but siyo kila mtu anazo sifa mhim zinazokidhi baadhi ya vitu hivyo.
      Najua unatamani kumiliki gari zuri la thamani lakini wakati mwingine unashindwa kwa kushindwa kukidhi mahitaji ya kupata hitaji lako
     Mfano huu unamaana gani? 
                           MIMI NA WEWE tulipokuwa wadogo wazo letu kubwa lilikuwa n kula nakwenda kucheza hatukuwa nakitu kingine chakufikiliria.
     Pia mfano huu huenda ukawa hujauelewa,
                          MIMI NA WEWE tulipoanza shule na hasa shule za msingi hatukuwa na kitu kingine zaidi ya kusubili mwalimu amalize kufundisha ili turudi nyumbani mapema na wakati mwingine tulijiwazia wenyewe kua kwanini mwalimu hamalizi mapema?
    Sijui kama huu mfano wa 3 utakuwa unakusogeza kwenye maana?
                        MIMI NA WEWE tulipoanza sekondari tulikuwa na tabia tofauti natulio kuwa nayo tukiwa shule ya Msingi hii inasababishwa na nini? (Naomba jibu)

                                       MABADILIKO YANGU NA YAKO
Mabadiliko hutofautiana kutoka mtu mmoja kwenda mwingine kwa jinsi kila mtu alivyolelewa katika jamii yake
Jinsi ulivyozoea ndivyo inavyokulazimu kuwa namaisha ya namna hiyo ingawa kuna waungwana ambao huhariri mfumo wa zamani wa maisha na kuunda mfumo mpya.
                                              MAJUKUMU
Sasa najua utaanza kutambua maana ya mifano niliyo kupatia(above) hapo juu.
Majukumu ya mtu huongezeka jinsi anavyozidi kukua na hii ni kwa watu wote ingawa uchukuzi wa majukumu hayo hutofautiana kutokoka mtu mmoja kwanda mwingine.
      Kwa familia yenye uwezo basi majukumu yao huchukuliwa na wazazi wao na kwa wasio na uwezo      hulazimika kuyachukua wao wenyewe hata kama ni mazito.
                                 
                             MAISHA KABLA YA NDOA NA MAISHA BAADA YA NDOA KUNACHANGAMOTO ZIPIIIIIII???????
                          (Naomba mchango wako wa mawazo then mimi nitatoa msimamo wangu kuhusu hii maada)
                                  Nakutakia mchango mwema.


No comments:

Post a Comment