Tulianza kwa kuiga stori, sasa tunaiga majina ya filamu za Kiingereza, sijui baadaye tutaiga nini?
Tasnia
ya filamu Bongo ambayo ipo katika nchi ya Waswahili wanaozungumza
Kiswahili fasaha lakini inayoongoza kwa kuwa na majina mengi ya
Kiingereza kwenye sinema zake! Bahati mbaya majina haya ya filamu
tunayoyatumia tayari yameshatumika kwenye filamu za nchi zingine
zilizoendelea zinazozungumza Kiingereza.
Filamu
za Bongo nyingi zinaaminika kukopi hadithi na visa vya filamu zingine
za nje, lakini hata hili la majina nalo limekuwa ni kitu cha kawaida
jambo linalotuletea aibu kubwa miongoni mwa mataifa mengine. Hebu
angalia mfano mdogo hapa chini:
No comments:
Post a Comment