Monday, January 2, 2012

HATA WEWE UNAWEZA KUKUTWA NA MAJANGA HATARISHI..... LAKINI HII ILIZIDI KAWAIDA YA MAFURIKO

UKISIKIA WATU TUNAISHI KATIKA MAZINGIRA HATARISHI HUWA HUAMINI SASA JIONEE MWENYEWE KILICHO TOKEA HAPAAAAA!!!

Hapa nchkavu pamegeuzwa kuwa bahari. Wahanga wakijaribu kujiokoa
Wingi wa maji uliyafanya makazi kugeuzwa kuwa majosho
Miundo mbinu nayo haikuweza kuhimili hali hii mbaya na yahatari
Ni uharibifu uharibifu uharibifu.....................
makazi hayakaliki tena
Baadhi ya wana usalama wakijaribu kutoa msaada
JESHI likitumia boti kuokoa waathirika

No comments:

Post a Comment