kikwete apokea shukrani kutoka kwa RAY C
RAY C amtembelea Rais Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam-Amshukuru kwa msaada wa matibabu
Mwanamuziki
wa Kizazi Kipya Rehema Chalamila maarufu kama RAY C akimshukuru Rais
Kikwete kwa kumsaidia matibabu,alipomtembelea ikulu jijini Dar es Salaam
leo.
Mwanamuziki wa Kizazi Kipya Rehema Chalamila maarufu kama
RAY C leo amemtembelea Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dare s
Salaam na kumshukuru kwa msaada wa matibabu wakati alipokuwa mgonjwa
hivi karibuni.
No comments:
Post a Comment