Monday, April 9, 2012
Mama Salma Kikwete ahani Msiba wa Steven Kanumba
Mke
wa Rais,Mama Salma Kikwete akiweka saini kwenye kitabu cha Maombolezo
ya Msanii nguli wa Filamu nchini,Marehemu Steven Kanumba aliefariki
Dunia siku mbili zilizopita nyumbani kwake Sinza Vatican,Jijini Dar es
Salaam.
Mbunge
wa Urambo Magharibi,Mh. Athuman Juma Kapuya akiweka saini kwenye kitabu
cha Maombolezo ya Msanii nguli wa Filamu nchini,Marehemu Steven Kanumba
aliefariki Dunia siku mbili zilizopita nyumbani kwake Sinza
Vatican,Jijini Dar es Salaam.
Mkongwe
wa Muziki nchini,King Kikii akiweka saini kwenye kitabu cha Maombolezo
ya Msanii nguli wa Filamu nchini,Marehemu Steven Kanumba aliefariki
Dunia siku mbili zilizopita nyumbani kwake Sinza Vatican,Jijini Dar es
Salaam.
Mdau
Iman Madega akiweka saini kwenye kitabu cha Maombolezo ya Msanii nguli
wa Filamu nchini,Marehemu Steven Kanumba aliefariki Dunia siku mbili
zilizopita nyumbani kwake Sinza Vatican,Jijini Dar es Salaam.
Mke
wa Rais,Mama Salma Kikwete akikumbatiana na Mama Mzazi wa Marehemu
Steven Kanumba wakati alipofika nyumbani hapo kwa ajili ya kuhani msiba
huo,jioni ya leo.
Mke
wa Rais,Mama Salma Kikwete akimfariji Mama Mzazi wa Marehemu Steven
Kanumba,Nyumbani kwa Marehemu,Sinza Vatican jijini Dar jioni ya
leo.Kushoto ni Dada wa Marehemu Steven Kanumba.
Mke
wa Rais,Mama Salma Kikwete akijadiliana jambo na Naibu Waziri wa
Habari,Vijana,Utamaduni,Dkt. Fenella Mukangara wakati alipofika Nyumbani
kwa Marehemu Steven Kanumba kwa kuhani Msiba huo.Kushoto ni Mama Mzazi
wa Steven Kanumba.
Mama
Salma Kikwete akisalimiana na Baadhi ya Waombolezaji wa Msiba wa
Marehemu Steven Kanumba jioni hii alipofika kuhani msiba huo.
Mama Mzazi wa Steven Kanumba.
Mama Salma Kikwete akizungumza na Wasanii wa Bongo Movie jioni ya leo.
Uzinduzi wa Miss Tabata 2012 wafana vilivyo
Warembo
wa wanaoshiriki shindano la kumsakama Malkia wa Tabata 2012 wakipozi
mbele ya mashabiki wa burudani ya urembo jijini Dar es Salaam
waliohudhuria uzinduzi wa shindano hilo la Urembo katika Ukumbi wa Dar
West Park Tabata jana.
Warembo wakicheza Show maalum ya utambulisho wao. Goma la Don’t Take My Number ndo liliwaongoza.
Warembo
wa wanaoshiriki shindano la kumsakama Malkia wa Tabata 2012 wakipozi
mbele ya mashabiki wa burudani ya urembo jijini Dar es Salaam
waliohudhuria uzinduzi wa shindano hilo la Urembo katika Ukumbi wa Dar
West Park Tabata jana.
Washiriki wa Shindano la Miss Ukonga 2012 ndio waliowasindikiza majirani zao wa Tabata.
Mpiga drams wa Twanga Pepeta Martin Kibosho akifanya vitu vyake jukwaani.
Mwimbaji mkongwe asiyechoka wala kuzeeka, Mumin Mwijuma akikamua na kundi lake la Twanga Pepeta.
Wanenguaji wa Bendi ya Twanga Pepeta wakishambulia Jukwaa vilivyo.
Shabiki mkubwa wa Twanga, Tomm Chilala akiyarudi magoma na mdau mwenzake.
Ilikuwa ni mshike Mshike kwa show za kufa mtu hakuna kukaa.
Wadau
wa Burudani na Urembo wakifatilia burudani na uzinduzi ho ulioletwa na
Bob Interteinment na kudhaminiwa na Konyagi na Dodoma Wine.
Mzee Mzima Salum Simba (MC) machachari akiwa na my wife wake.
Wadau wakubwa wa masuala ya urembo na Burudani kwa ujumla walikuwepo ukumbini. Pia walitumia fursa hiyo kusheherekea Pasaka.
Jopo
la waandaaaji wa Shindano la Miss Chan'gombe walikuwepo kuangalia
vitisho vya Miss Tabata 2011. Kushoto ni Mmoja wa washiriki wa Miss
Chang'ombe ambaye hakika ni fimbo ya ukweli.
Mwana dada Aisha Ramadhani "Aisha Mashauzi" aliwashika vilivyo na walikatika nyonga ile mbaya kwa taarabu yake kali.
No comments:
Post a Comment