Na Herrsson Dawsson
TUKIO la vita na mauaji lilitokea wiki kadhaa zilizopita pande za Songea mkoani Ruvuma, limemtibulia ‘kichaa’ wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul na kushindwa kufanya shoo pande hizo.
Akizungumza na Ijumaa baada ya kurejea jijini Dar es Salaam juzikati, akitokea mkoani humo, Diamond alisema alichukuliwa na promota aliyemtaja kwa jina moja la Eddo kwa ajili ya kwenda kufanya shoo katika Ukumbi wa Jambo Lee, Songea mjini, lakini ilishindikana kutokana na taarifa ya polisi kuwa hakuhitajiki mkusanyiko pande hizo.
“Nilifikia hotelini na kikosi changu cha kazi, niliambiwa maandalizi yamekamilika na tayari watu 800 walishakata tiketi, muda wa shoo ulipofika nilishangaa sipigiwi simu, ndipo nilimtafuta mhusika akaniambia imeshindikana kwa sababu za kiusalama ‘so’ nikapewa Sh. milioni moja nikarudi Dar na bado nadai Sh. milioni mbili.
“Kilichosababisha yote hayo ni mauaji yaliyotokea siku za nyuma na vita kati ya polisi na raia, lakini mashabiki wangu wasijali waendelee kunipigia kura ili nishinde Tuzo za Kili kwa kutuma neno Kili B1, Kili C2, Kili F3, Kili R1, Kili U1, Kili V3, Kili V4 kwenda namba 15747,” alisema Diamond.

Monday, March 19, 2012
HAPPY BIRTHDAY BONGO MOVIE CLUB
Bongo Movie club
yafanya party kubwa ya kutimizwa mwaka mmoja tangu ianzishwe
iliyofanyika katika viwanja vya Bussiness iliopo maeneo ya Victoria. Ni
vigumu sana kwa wasanii Tanzania kuanzisha kitu chenye umoja na kufikisha mwaka mmoja kwa kweli Bongo Movie club
wanastahili sifa kubwa sana. maana kiuhalisia sisi wasanii bongo tuna
matatizo sana atuna umoja wala upendo wa dhati toka katika mioyo yetu
zaidi ya kuchekeana kichina tu lakini tunaamini kwa nguvu za Mungu wa
imani tutabadilika na kuwa wenye upendo wa dhati.
Viongozi wa Bongo Movie club wakipata picha ya pamoja The Greatest kati Richie Richie na Hartman Mbilinyi vijana wamendeza na suti zao za ukweli.
Kama kawa mambo yakiwa yanazidi kunoga
Wazee wa kale hao Mzee Korongo akiwa pamoja na mzee Mbembe kushoto party ilipendeza sana jamani
Mnakumbuka jamani Bi Kidide enzi za Koale kukundi kilichotoa mastaa wengi mnaowaona sasa wakitesa katika tasnia za filamu
Wema Sepetu ndani ya Red Capet akipata interview toka kwa mtangazaji wa Staar tv Dada yetu Sauda Mwilima
Wema na Ray
Tino na Sandra
Viongozi wakiteta jambo
Wageni waliodhuria sherehe ya Bongo Movie club ya kutimiza mwaka mmoja
Maya na Recheal picha ya kumbukumbu
Wema sepetu na rafiki yake
Johari na Uwoya
Mwanamuziki wa kizazi kipya Sheta wa kati naye alikuwepo
Steve Nyerere wa katikati pamoja Iddi aka( Mchongo) wa kulia
Wolper na Odama kulia
Amani kwenu warembo wa Bongo Movie club
Rizi One Kikwete mtoto
wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania akifungua rasmi party kwa
kuwasha mishumaa kwenye keki rasmi iliyoandaliwa kwa siku hiyo
Mwenyekiti wa Bongo Movie club JB akiweka mambo sawa katika upande wa keki
Keki
yanye mfano wa Camera yani ikiashiria ndio kitendea kazi kukibwa sana
katika upande wa kazi zetu, Bongo Movie club 2012 nitwaletea matukio
mengine yaliyojiri mambo bado sana kulikuwa na burudani za kutosha
Wednesday, March 14, 2012
KONFA BUSINESS LODGE OPENING SOON
Haya
wadau wa town kuna kitu kipya kinakuja kuteka na kukamata jiji katika
upande mzima wa sehemu ya kupumzika kuna sehemu mpya inaitwa KONFA BUSINESS LODGE ni
sehemu nzuri sana iko mitaa ya Mbezi Beach kwa maelekezo zaidi
nitawafahamisha vizuri na inategemewa kufunguliwa wiki mbili zijazo ni
sehemu nzuri sana na bei zao ni poa sana karibuni sana
Cheki geti ilo lakisasa kabisa wewe mwenyewe sema mimi sisemi
RECEPTION
Maandalizi yanaendeleaaa
Chumba cha kulala
Bafu, ni hatari sana jamani duhuuuuu
Urembo wa kutosha ndani ya BUSINESS LODGE
Simu ya chumbani ukitaka uduma
Jamani hapa ni bongo wala si ulaya kila kitu sasa hivi kinapatikana bongo
Tv ya kuangalia baada mihangaiko ya mchana kutwa
Mandhari ni nzuri sana jamani
The Greatest nikikagua baadhi ya maeneo
Mambo yakiendelea
Kiooo
KONFA BUSINESS LODGE
Kwa juu panavyoonekana
Sehemu ya kupumzika ukiwa na mwenza wako
KONFA BUSINESS LODGE
Kiti cha massage
Chumba cha nguvu
Koridoni
Geti
Urembo wa kutosha maeneo ya BUSINESS LODGE
WELCOME
Bar
Kwa nje panavyoonekana
Mazingira safi sana
Sehemu ya kupata moja baridi moja moto
Mzani wa kupima uzito baada ya kutoka msalani
Monday, March 12, 2012
PRINCIPLES NA SOBBING SOUND
Wadau
najua mmenituma kijana wenu mjini kuja kufanya kazi na si maneno mengi
nami natekeleza maagizo yenu picha hizi nimepiga kwa ajili ya macover
yangu mawili kwa ajili ya cinema zangu mbili kali zinazokuja nadhani
itaanza Sobbing Sound imeshilikisha mastaa kibao wakali nitwaletea matukio ya mzigo huo ni hatari tupu
Picha
ya pamoja mimi na Uwoya huu sasa ni mzigo wa Sobbing Sound tumeunguluma
pamoja humo ndani pata picha mwenyewe itakuwaje si ni hatari
Lulu huu sasa ni mzigo wa Principles of Woman
Pozi kama kawaida ya Lulu
The Greatest na Uwoya
Kissssssss
Mtoto kakua jamani akiwa na Baba yake
Hatari sana ndani ya Principles of Woman
The Greatest
Kijana kazini
Handsome Boy
No comments:
Post a Comment