Monday, January 2, 2012

NI KWANINI AZIKWE MAHALA PA SIRI!?????

Mwili wa Gaddafi wazikwa jangwani


Mwili wa aliyekuwa kiongozi wa Libya, Kanali Muammar Gaddafi umezikwa  jangwani kwenye eneo la siri.


Familia ya Gaddafi iliomba ipewe mwili huo na wa mtoto wa Gaddafi, Mutassim lakini viongozi wa Serikali ya mpito ya Libya walikataa.

No comments:

Post a Comment