Hatimaye msimu mpya wa ligi kuu Tanzania bara umekaribia kuanza na timu zetu zote zimeshazindua Jezi Mpya kwaajili ya msimu unaoanza 2023/2024.
NINI MAONI YAKO.
Jezi ipi ni kali kwa Msimu wa NBC PREMIER LEAGUE TANZANIA 2023/2024
1. YOUNG AFRICANS SC
2. NAMUNGO FC
3. AZAM FC
4. SIMBA SC.
No comments:
Post a Comment