Monday, December 10, 2012

kikwete apokea shukrani kutoka kwa RAY C


RAY C amtembelea Rais Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam-Amshukuru kwa msaada wa matibabuMwanamuziki wa Kizazi Kipya Rehema Chalamila maarufu kama RAY C akimshukuru Rais Kikwete kwa kumsaidia matibabu,alipomtembelea ikulu jijini Dar es Salaam leo.  

Mwanamuziki wa Kizazi Kipya Rehema Chalamila maarufu kama RAY C leo amemtembelea Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dare s Salaam na kumshukuru kwa msaada wa matibabu wakati alipokuwa mgonjwa hivi karibuni.

No comments:

Post a Comment