Tuesday, April 10, 2012

HIZI NDIZO HATUA ZA MWISHO ZA KUMBUKUMBU ZA STEVIN KANUMBA MWILI WAKE UKIAGWA KATIKA VIWANJA VYA LEADERS ASUBUHI YA LEO

Tuesday, April 10, 2012

Makamu wa Rais aongoza waombolezaji kwenye kuaga mwili wa Marehemu Steven Kanumba

 Makamu wa Rais,Dkt. Mohamed Gharib Bilal akiwasili kwenye viwanja vya Leaders Club asubuhi hii.
 Mke wa Rais,Mama Salma Kikwete akiwasili viwanjani hapa.
 Viongozi mbali mbali wapo kwenye shughuli hii ya kumuaga marehemu Steveen Kanumba.
 Mdogo wa Marehemu Kanumba akiwasili viwanjani hapo.
 Mama Mzazi wa Marehemu Kanumba akiwasili viwanjani hapa.
 msafara wa Makamu wa Rais.
 Mdau Athuman Khamis pia amehudhulia shughuli hii.
 Dada wa Marehemu Kanumba akisaidiwa kubebwa mara baada ya kuishiwa nguvu wakati akiwasili viwanjani hapa.
Viongozi wakuu wa Serikali.
 watu wengi wamehudhulia shughuli hii.
 Mwili wa Marehemu ukiwasili uwanjani hapa.
 ukipelekwa sehemu maalum iliyoangaliwa.

No comments:

Post a Comment